ASSAs

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TTCL NA AIRTEL

352
0
Share:

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mohammed Abdallah Mtonga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

Mtonga anachukua nafasi ya Dkt. Omari Rashid Nundu ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania.

(Visited 46 times, 1 visits today)
Share this post