ASSAs

Vijana wa Kitanzania waanzisha “Future Team Tanzania”

323
0
Share:
WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.19.54

Baadhi ya Vijana wa Kitanzania ambao waliuda umoja wao wa “Future Team Tanzania” walipokuwa mafunzoni nchini Urusi, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Urusi baada ya kukutana tena na kuzindua rasmi umoja wao huo kwa hapa nchini, uliofanyika jana juni 13, 2019 katika ukumbi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), jijini Dar es salaam.

WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.22.33
WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.21.03

 Muazilishi kiongozi wa umoja huo “Future Team Tanzania”, Sussane William Mollel akizungumza jambo katika shughuli hiyo, iliyofanyika jana juni 13, 2019 katika ukumbi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), jijini Dar es salaam.

WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.31.18%25281%2529

Muwakilishi Msaidizi wa UNDP hapa nchini, Ernest Salla akizungumza wakati alipokuwa akiwafundisha jambo vijana hao.

WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.19.55%25281%2529

 Mkurugenzi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), Rifat K Pateev akizungumza jambo.

WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.19.55

 Mkuu wa Itifaki wa Ubalozi wa Urusi nchini, Maya Nikolskaya akiwasihi jambo vijana hao wa Kitanzania kwa kuanzisha umoja wao huo.

WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.22.41
WhatsApp%2BImage%2B2019-06-13%2Bat%2B17.25.01
(Visited 31 times, 1 visits today)
Share this post