ASSAs

POLISI YASITISHA MKUTANO WA CHADEMA MOROGORO KESHO

310
0
Share:

JESHI  la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokuwa unatarajiwa kufanyika  kesho Jumapili, Juni 16, 2019, kwa kile kilichodaiwa sababu za kiusalama.

(Visited 22 times, 1 visits today)
Share this post