ASSAs

BREAKING NEWS; WEMA SEPETU AWEKWA JELA SIKU 7

1241
0
Share:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru msanii wa filamu nchini Wema Sepetu kwenda jela siku saba wakati akisubiria uamuzi wa mahakama wa kumfutia  dhamana. 

Wema Sepetu anayekabiliwa na shtaka moja la kuchapisha video ya ngono na kusambaza katika mtandao wa kijamii wa Instagram. 

Jumanne Juni 11, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilitoa hati ya kumkamata mlimbwende huyo wa Tanzania mwaka 2006, baada ya kukiuka masharti ya dhamana. 

(Visited 174 times, 1 visits today)
Share this post