ASSAs

MCHEZAJI WA SINGIDA UNITED KENNEDY JUMA ATUA SIMBA, APATA MKATABA WA MIAKA MIWILI

970
0
Share:

Mchezaji wa Singida United, Kennedy Juma,  leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.

Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.

(Visited 90 times, 1 visits today)
Share this post