ASSAs

HII NDIYO RATIBA YA MICHUANO YA AFCON2019

1328
0
Share:

Wakati zimesalia siku mbili pekee kabla ya kuanza kwa michuano ya Mataifa ya Afrika nchini Misri  Afcon 2019, kumekuwa na maswali hasa kuwa lipi ni kundi la kifo ama gumu kati ya sita yaliyopo.

Iwapo Tanzania na Kenya itaifunga timu yoyote kati ya hizo matokeo hayo yatachukuliwa kama ya kushangaza kwenye ulimwengu wa kandanda.

Kama kundi C siyo gumu, basi kundi lipi ni gumu ama la kifo kama ifahamikavyo kwenye lugha za kimichezo?

Wachambuzi wanaamini kuwa kundi D lenye timu za Ivory Coast, Morocco, Afrika Kusini na Namibia.

(Visited 185 times, 1 visits today)
Share this post