ASSAs

WILKER HENRIQUE DA SILVA WA BRAZIL ASAJILIWA SIMBA

2633
0
Share:

Mshambuliaji Wilker Henrique da Silva mwenye umri wa miaka 23, amesaini mkataba wa miaka miwili kukipiga na mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC akitokea klabu ya Bragantino ya Brazil.

(Visited 753 times, 1 visits today)
Share this post