ASSAs

KIUNGO MAPINDUZI BALAMA WA ALLIANCE FC ATUA YANGA KWA MKATABA WA MIAKA MITATU

1098
0
Share:

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara Yanga SC leo Jumamosi Juni 22, 2019 wamekamilisha usajili wa kiungo Mapinduzi Balama kutoka Alliance FC ya Mwanza kwa mkataba wa miaka mitatu.

(Visited 184 times, 1 visits today)
Share this post