ASSAs

NISHA; SIJAACHA SANAA NA SIWEZI KUACHA

1822
0
Share:

Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa hajaacha sanaa na wala hawezi kuacha kwakuwa ndicho kipaji alichozaliwa nacho licha ya kuwa amejikita kwenye biashara.

Akilizungumzia hilo Nisha amewahakikishia mashabiki zake kuwa atarudi kwenye sanaa kwakuwa kipaji hakizeeki;

“Sijaacha sanaa na siwezi kuacha maana ni kipaji nilichozaliwa nacho hivyo mashabiki wangu wajue kuwa nimewaacha kwa muda tu kwa ajili ya kutafuta maisha, lakini siku ikifika nitarejea kwenye kazi yangu hiyo ya uigizaji kama kawaida maana kipaji hakizeeki,” alisema Nisha

(Visited 220 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us