ASSAs

MBUNGE HUSSEIN BASHE AJA JUU BAADA YA KUAMBIWA AMEJIUNGA ACT WAZALENDO

533
0
Share:

Mbunge wa Nzega Mjini (CCM) Hussein Bashe ameonesha kutofurahishwa, baada ya yeye, Januari Makamba pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye, kutajwa kuwa miongoni mwa watu ambao washajiunga na chama cha ACT – Wazalendo na wanasubiri kipindi cha Ubunge kiishe.

Hussein Bashe ameonesha hali hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya mtu anayedaiwa kudukua mawasiliamo ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kuchapisha taarifa juu ya Wabunge hao kujiunga na ACT – Wazalendo muda wowote.

(Visited 84 times, 1 visits today)
Share this post