ASSAs

KOCHA WA ALGERIA AIHOFIA TAIFA STARS

1530
0
Share:

Kocha mkuu wa timu ya taifa Algeria akiongelea mchezo wao dhidi ya Taifa stars leo amesema kuwa anaiheshimu sana Taifa Stars katika mchezo wao unaokuja wa AFCON.

Algeria leo itakutana na Tanzania katika mechi ya mwisho kwenye kundi C, tayari timu hiyo imejikusanyia pointi 6 huku Taifa Stars ikiwa haina kitu.

“Haijalishi unakutana na mpinzani wa aina gani, siku zote tunacheza kwa lengo namba moja la kushinda kwa kila timu yeyote tunayokutana nayo. Wachezaji wangu wanajua wajibu wao, nini cha kufanya ili tupate ushindi dhidi ya Tanzania.” amesema.

(Visited 151 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us