ASSAs

MO DEWJI AFUNGUKA TETESI ZA KUACHANA NA KLABU YA SIMBA

2259
0
Share:

Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Simba ambaye ni mwekezaji wa timu hiyo, Mohammed Dewji, amejibu taarifa kuhusu kujiondoa Simba.

Taarifa hizo zilianza kusambaa usiku wa jana katika mitandao ya kijamii, lakini mwenyewe amejitokeza na kuweka bayana kinachoendelea.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mo Dewji amesema, “watu wenye nia mbaya. Kazi yao sio kujenga, ni kuvunja tu. Kaa nao mbali. Narudia kaa nao mbali sana!”.

(Visited 855 times, 1 visits today)
Share this post