ASSAs

NANDY, BILL NAS PENZI LAFUFUKA

1121
0
Share:

Wasanii Faustina Mfinanga maarufu Nandy na mwenzie Bill Nass wametrend tena katika mitandao ya kijamii baada ya kuonekana katika picha mbalimbali wakiwa pamoja na kuzua gumzo kubwa mtandaoni.

Wawili hao walishawahi kuwa kimapenzi na ilikuja kuthibitishwa baada ya clip waliyojirekodi wakiwa faragha kuvuja, video hiyo ilileta tabu sana mjini na ikazua mitindo mbalimbali na majina flani hivi kama vile Billnas akaitwa mzee wa ‘ndole’ na Nandy nae…hata sijui ha ha ha!

Wawili hao walikua kwenye show iliyobatizwa jina la Nandy Festival iliyofanyika siku ya jumamosi mjini Bukoba, mbali na wasanii hao pia walikuwepo wengine kama Dogo Janja na Saida Kalori.

Hakika siku ya Jumamosi mashabiki wa muziki mjini Bukoba walienjoy burudani ile mbaya.

(Visited 231 times, 1 visits today)
Share this post