ASSAs

HUU NDIO WIMBO MPYA WA MSANII WA INJILI IRENE ROBERT

844
0
Share:

Msanii wa Muziki wa Injili kutoka Tanzania,Irene Robert Badaa ya kukamata anga la Muziki la Injili Tanzania na Nje ya Mipaka kwa wimbo wake uitwao kishindo, Sasa ameshusha wimbo Mpya wa Video Uitwao Tembea.

Mpaka sasa msanii huyo ameshaachia nyimbo ttu ambapo wimbo wa kishindo ni wimbo wake wa nne, Baada ya kuachia wimbo kwanza Unashuka, Nianze na wewe, Kishindo na Sasa Kishindo.

Irene ni mwimbaji ambaye amepata mafanikio kwa haraka sanaa kutokana na kufanya kazi nzuri za kiwango Cha juu sana, ambapo kazi zake zinakubalika sana ndani na nje ya nchi

Kazi ya video imefanya na Enxer na audio ikifanyika pale Masai Record chini ya producer Yusuph Manamba. Yuko chini ya Lebo ya Famara Promotion.

Ni mwimbaji aliyejishusha kwa Unyenyekevu na anatamani kwenda kimataifa zaidi. Wimbo wake Mpya Uko Youtube kwa Sasa pata nafasi uutazame.

Msanii wa Injili Irene Robert
(Visited 98 times, 1 visits today)
Share this post