ASSAs

SHULE 10 ZILIZOFANYA VIBAYA MATOKEO KIDATO CHA SITA

429
0
Share:

Shule ya Sekondari ya Nyamunga ya mkoani Mara imeshika namba moja kati ya shule 10 zilizofanya vibaya kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018.

Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Julai 11, 2019 na katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde.

Katika orodha hiyo kuna shule nne za Mjini Magharibi  visiwani Zanzibar ambazo ni Kiembesamaki A Islamic, Mpendae, Tumekuja na Haile Selassie.
==>>Hizi ni Shule 10 za Mwisho Kitaifa
1.    Nyamunga, Mara.

2.    Haile Salassie Mjini Maghari.

3.    Tumekuja,mjini Magharib

4.    Bumaangi,mara

5.    Butuli,mara

6.    Mpendae, Mjini Magharib

7.    Eckernford, Tanga.

8.    Msimbo, Katavi.

9.    Mondo, Dodoma.

(Visited 79 times, 1 visits today)
Share this post