ASSAs

CHRISS BROWN KUCHUKUA NAFASI YA JUX KWA VANESSA

1915
0
Share:

Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Chris Brown ameanza kuwasha taa ya kijani kwa Vanessa Mdee.

Hii itakuwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwimbaji wa Tanzania na pengine Afrika Mashariki kuwa followed na Staa wa muziki nchini Marekani Chris Brown kwenye Instagram ambaye ana zaidi ya followers milioni 55 lakini yeye anafollow watu elfu tatu na sabini tu.

Hitmaker wa ;Moyo’ mwanadada Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya watu elfu tatu na sabini ambao Breezy ana wa-follow sasa hivi

(Visited 1,001 times, 1 visits today)
Share this post