ASSAs

MAJERUHI WA AZAM MEDIA WAHAMISHIWA HOSPITAL YA MUHIMBILI

292
0
Share:

Majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea July 08, 2019 eneo la Shelui na Igunga ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya Azam Media, Mohamed Mainde pamoja na Artus Masawe, wamehamishwa kutoka hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center kwenda hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.

(Visited 19 times, 1 visits today)
Share this post