ASSAs

WAJUMBE WA MABUNGE JUMUIYA YA MADOLA WAFIKA BUNGENI

222
0
Share:

Spika wa Bunge,  Job Ndugai akiongozana na Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi baada ya kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Jijini Dodoma.

Spika Muturi pia ni Mwenyekiti wa kamati tendaji ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika, wageni wengine ni wajumbe wa jumuiya hiyo

(Visited 9 times, 1 visits today)
Share this post