ASSAs

KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOVAANA NA CHAN HIKI HAPA

1074
0
Share:

Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Etiene Ndairagije ametaja kikosi cha Wachezaji 26 kitakachojiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya. Taifa Stars itaingia Kambini Julai 21,2019 Dar es Salaam.

(Visited 417 times, 1 visits today)
Share this post