ASSAs

BOB WINE ATANGAZA KUGOMBEA URAIS

1141
0
Share:

Leo July 17, 2019 nakusogezea stori kutoka nchini Uganda amabapo tunataarifiwa kuwa Kyagulanyi Ssentamu (Bobi Wine) Mwanamuziki nyota nchini Uganda na Afrika Mashariki ambae amejipatia umashuhuri wake katika siasa ametangaza kuwania Urais wa nchi hiyo.

Katika mahojiano aliofanya na kituo cha habari cha “The Associated Press” amesema kuwa anataraji  kumenyana na Rais Museveni katika uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini Uganda mwaka 2021.

Bobi wine amesema kuwa “I will challenge President Museveni on behalf of the people,” katika mahojiano na  The Associated Press  Jumatatu.

(Visited 111 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us