ASSAs

CAF WATANGAZA MSIMAMO MWINGINE FAINALI ZA AFCON

620
0
Share:

Usiku wa siku Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limemtangaza mwamuzi atakayechezesha fainali ya AFCON ni Victor Gomes kutoka Afrika Kusini.

Jana mchana ilitoka taarifa kwamba mwamuzi Bamlak Tessema Weyesa kutoka Ethiopia ndio atachezesha mchezo wa fainali ya AFCON 2019 kati ya Senegal na Algeria.

Ikumbukwe kwenye mchezo wa Madagascar dhidi ya DR Congo mwamuzi alibadilishwa saa matano kabla ya mchezo husika kuanza, kitendo ambacho kililalamikiwa sana na kuibua maswali mengi.

(Visited 104 times, 1 visits today)
Share this post