ASSAs

TECNO YAINGIA UPYA MKATABA NA MACHESTER CITY

539
0
Share:

July, 2019, China Nanjing Kampuni ya simu maarufu nchini TECNO mobile imeongeza mkataba wake na klabu bingwa ya uingereza kutoka mji wa Manchester , Manchester city, Mkataba huo umesainiwa nchini India huku mafanikio yakionekana katika ushindi wa 4- 1 kwenda fainali dhidi ya west ham katika mashindano ya ASIA

Ushiriakiano na klabu ya man city unalenga kufikisha lengo la TECNO kuwaletea furaha wateja wake kupitia Teknolojia katika simu na mambo wayapendayo ikiwemo mpira wa Miguu.

Mkataba huo umeanza kwa kishindo ambapo Timu ya machester City imeshirki mashindano ya barani Asia pamoja na vilabu vingine vya uingereza huku jezi za Manchester city zikipambwa na logo za kampuni ya TECNO.

Mkuregenzi mkuu wa Kampuni mama ya TECNO, TRANSSION HOLDINGS, bwana Stehen Ha amenukuliwa akisema ‘TECNO ina furaha kua brand yetu itavaliwa na Manchester City katika mashindano ya Asia na tunaamini hari yetu ya ushindi pamoja na rangi ya blue vitasaidia kushinda’

Pia kufuatia ushirikiano huo uliosainiwa nchini India katika mjini Delhi, Makamu raisi wa ushirikiano katika klabu ya Manchester city bwana Damian Willoughby alisema “manchester city inayofuraha kutangaza rasmi kua mkataba uliosainia kwa mara ya kwanza 2016 umesainiwa tena , kampuni inayoongoza Africa na Asia TECNO, tumeshirikiana nao kwenye mambo mengi ya mpira na biashara ni jambo zuri kua tunaendlea nao tena hasa katika mashindano haya ya Asia kujiandaa na ligi kuu’ alimaliza.

Machester city inashiriki mashindano ya Asia ikiwa ni mojawapo ya maandalizi ya msimu wa ligi kuu, imefanikwa kuwafunga West ham 4-1 Katika nusu fainal hivyo itacheza fainali dhidi ya wolves siku ya jumamosi mjini Nanjing, China.

(Visited 71 times, 1 visits today)
Share this post