ASSAs

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA 21st CENTURY FOOD AND PACKAGING LTD JIJINI DAR ES SALAAM

1335
0
Share:

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwana Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda,Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri waViwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiriaufunguzi wa Kiwanda cha 21 st Century Food andPackaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuliakizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21 st CenturyFood and Packaging Mohamed Dewji mara baada yauzinduzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuliakisikiliza maelezo ya kutoka kwa Mkurugenzi waKiwanda cha 21 st Century Food and Packaging MohamedDewji kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwandahicho jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuliakizungumza na wananchi mara baada ya kufunguakiwanda hicho jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

(Visited 125 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us