ASSAs

Mwanasheria mkuu wa Serikali na Kamishna wa Uhamiaji nchini hatiani kesi ya ASKOFU.

930
0
Share:

#KUTOKAMAHAKANI
Mahakama kuu nchini Tanzania inatarajia kusikiliza kesi ya maombi ya Askofu mkuu wa kanisa la house of prayer of faith christian fellowship ASKOFU MULILEGE KAMEKA anayeiomba mahakama hiyo imchukulie hatua ya kumfunga mwanasheria mkuu wa Serikali na kamishna wa Uhamiaji kwa kushindwa kutekeleza agizo la mahakama la kumuachia huru askofu huyo kutoka gerezani,kesi hiyo itasikilizwa agosti 9 mwaka huu

(Visited 343 times, 1 visits today)
Share this post