ASSAs

AJALI MOROGORO: LORI LA MAFUTA LALIPUKA KWA MOTO, WATU ZAIDI YA 54 WASADIKIWA KUFA

1882
0
Share:

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, lori la mafuta limelipuka asubuhi hii Agosti 10, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua watu wasiopungua 54 wakati wakijaribu kuchota mafuta baada ya gari la kubebea mafuta kupata ajali mjini Morogoro.
Mashuhuda wanadai moto ulianza baada ya mtu mmoja kuchomoa battery ya gari na kusababisha cheche.Habari kamili inakujia hivi punde.

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, lori la mafuta limelipuka asubuhi hii Agosti 10, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua watu wasiopungua 54 wakati wakijaribu kuchota mafuta baada ya gari la kubebea mafuta kupata ajali mjini Morogoro.
Mashuhuda wanadai moto ulianza baada ya mtu mmoja kuchomoa battery ya gari na kusababisha cheche.

Habari kamili inakujia hivi punde.

(Visited 647 times, 1 visits today)
Share this post