ASSAs

MTANZANIA BEN BREAKER ATAJWA KUWANIA TUZO KUBWA ZA STAR QT NCHINI Afrika Kusini

1441
0
Share:


Kijana wa Kitanzania ambaye amejikita katika sanaa ya mitindo pia ni mchezaji (Dancer choreographer) maarufu Ben Breaker ambae amekuwa na ushawishi mkubwa ametajwa kuwania tuzo kubwa za Star Qt za nchini Afrika Kusini.

Ben ametajwa katika vipengele viwili(2) ikiwemo kipengele cha BEST ICON na PEOPLE’S CHOICE AWARD(TUZO YA CHAGUO LA WATU) Ben.

Akizungumza na Lemutuz Blog amesema amefurahi kuwa miongoni mwa watu watakaowania tuzo hizo kwa mwaka 2019 ambapo anaamini anawania tuzo ikiwa ni pamoja na kuiwakilisha nchi pamoja na vivutio vinavyopatikana ndani ya Tanzania.

Tuzo hizo zinategemewa kufanyika tarehe 26 octoba 2019 katika ukumbi wa Edenvale Johanesburg Afrika ya Kusini.

(Visited 194 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us