ASSAs

HARMONIZE AACHIA NGOMA MPYA BAADA YA KUTOKA WASAFI

3981
0
Share:

Msanii Harmonize aka Konde Boy ametoa ngoma mpya akiwa na msanii Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda inayoitwa ‘Inabana’.

Ikumbukwe kuwa hii ni ngoma yake ya kwanza tokea akiwa msanii Solo, hivyo kionjo cha Wasafi kama ilivyozeoeleka hakipo, kinasikika kionjo cha Dully Sykes ‘ooh nice, This is Serious’.

Pia video amefanya kwa Hanscana, Video hiyo ndani ya masaa kumi ilikuwa na Viewers 65,000 (65K)

(Visited 1,284 times, 1 visits today)
Share this post