ASSAs

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA KAMISHNA DIWANI ATHUMAN MSUYA KUWA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA (TISS)

2318
0
Share:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna Diwani Athuman Msuya akitia sahihi hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi
Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es
Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna Diwani
Athuman Msuya akiapa kaipo cha Maadili kwa Viongozi wa Utumishi
wa Umma mara baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara
ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua
nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kumuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye
anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna Diwani
Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu
wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye
anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja
na Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es
Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba

Picha na Ikulu

(Visited 367 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us