ASSAs

FAIZA AWAJIA JUU WANAOSEMA ANAIBA MUME WA MTU

482
0
Share:

Mwanadada Faiza Ally ambaye pia ni mama wa watoto wawili, kupitia ukarasa wake wa Instagram, awajia juu wale wanaodai anaiba mume wa mtu.
Hili limekuja kutokana na idadi kubwa ya komenti zilizomo kwenye post zake zilizopita kupitia ukurasa wake huo zikimtaka aachane na tabia hiyo.

Hata hivyo Faiza amejibu kwa kuuliza, “Kama sina wangu nifanyaje? Tusifosi kufanana”.. alimalizia Faiza ambaye pia ni mzazi mwenza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu.

(Visited 40 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us