ASSAs

Dstv KURUSHA LIVE DROO YA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA

294
0
Share:

Usiku wa leo mambo ni 🔥🔥🔥 barani Afrika kwenye droo ya Kombe la Mataifa ya Afrika CAF, je uko tayari kuona Mastaa wa Afrika Dimbani wakiwakilisha mabara yao ? Usikose kufuatilia droo hii leo saa tatu usiku ndani ya @dstvtanzania kwa sh.19,000 tu!

KilaMtuMachoKodo

(Visited 25 times, 1 visits today)
Share this post