ASSAs

KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI CP LIBERATUS SABAS AKIWA NA KAMATI NDOGO YA VYOMBO ULINZI NA USALAMA WAKIKAGUA VIPENYO RASMI NA VISIVYORASMI VINAVYOTUMIWA NA WAHALIFU KUTOKA NCHI JIRANI YA MSUMBIJI

424
0
Share:

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP
Liberatus Sabas akiwa na Kamati Ndogo Ya Vyombo Ulinzi Na
Usalama wakiteta jambo baada ya kumaliza kukagua moja ya
kipenyo cha Mtipesa ambacho kilichopo mkoani Mtwara mpakani
mwa Tanzania na Msumbiji. (PICHA NA JESHI LA POLISI)

Kamishna Wa Operesheni Na Mafunzo Ya Jeshi La Polisi Cp
Liberatus Sabas Akizungumza Na Madereva Bodaboda waliopo
Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji eneo la Mtipesa juu ya
kukabilina na Wahalifu Watakaoingia au kutoka nchini msumbiji
ila amewaasa Madereva hao kuwa na tabia ya kutoa Taarifa
Katika Vituo Vya Polisi Vilivyo karibu yao hasa pale wanapoona
Mtu na Kumtilia shaka.(PICHA NA JESHI LA POLISI)

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP
Liberatus Sabas, akiwa katika moja ya mitumbwi eneo la
Kihanga Mkoani Mtwara inayotumiwa na raia kuvusha
watanzania wanaoelekea nchini Msumbiji katika shughuli za
kujipatia kipato ila wengi wanaotumia usafiri huo ni wakulima
(PICHA NA JESHI LA POLISI)

(Visited 59 times, 1 visits today)
Share this post