ASSAs

EURO QUALIFIERS YAZIDI KUPAMBA MOTO

300
0
Share:Meneja Masoko wa Startimes Bw.David Malisa ameiambia Lemutuz Blog kwamba Mechi kali za Euro qualifiers zinaendelea kuonyeshwa ndani ya king’amuzi cha Startimes kupitia chaneli ya World Football.
BUNDESLIGA
Tar 19th octb,2019.Saturday.
1.Augsburg vs FC Bayern Munich. saa10:30jioni.
World football,In Swahili commentary.
2.Dortmund vs Monchengladbach.Saa1:30 usiku, World Football (Swahili commentary).

Ligue1
Tar 18th octb,2019.friday.
1.nice vs PSG -3:45usiku.
On sports premium,(no Swahili commentary).

Tar 20th Octb,2019 ,Sunday.
Marseille vs Strasbourg Alsace.
World football,With Swahili commentary.
Saa 4:00usiku

Ameongeza na kusema mechi hizi zitaruka moja kwa moja hivyo wateja wa startimes wakae mkao wa kushuhudia mechi kali za Euro Qualifiers.
Hata hivyo Bw.Malisa amesema Startime ina chanel nyingi za michezo,burudani na tamthilia ambapo ameongeza kua Tamthilia pendwa ya Wildflower msimu wa pili kurudi kwa Kishindo ndani ya ST.Swahili,amewashauri watu kulipia vifurushi vyao ili wasikose uhondo huu .

(Visited 34 times, 1 visits today)
Share this post