ASSAs

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA KITONGOJI CHA SOKOINE CHAMWINO MJINI DODOMA

2845
0
Share:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandikisha katika daftari la
Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji
cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019. Kulia
aliyekaa ni Afisa wa NEC Mary Joseph Mwambongo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ana kula chakula pamoja na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya habari wa mkoani Dodoma leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo mara baada ya
kujiandikisha katika katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani
Dodoma leo tarehe 12/10/2019.

PICHA NA IKULU

(Visited 38 times, 1 visits today)
Share this post