ASSAs

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASILI RUANGWA MKOANI LINDI

1324
0
Share:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Ruangwa mara baada ya ufunguzi wa barabara ya
Nanganga- Ruangwa sehemu ya Kitandi-Ruangwa km 5
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Kulia ni Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi
mradi wa Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa wakati wakiweka jiwe la msingi mradi wa
Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa wakati akiwasili Ruangwa mkoani Lindi leo
tarehe 15/11/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa barabara ya Nanganga- Ruangwa sehemu ya
Kitandi-Ruangwa km 5 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango
cha Lami.

PICHA NA IKULU

(Visited 127 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us