ASSAs

CANADA YAMTUNUKU DIAMOND TUZO YAHESHIMA

304
0
Share:

 Taasisi ya Kiswahili nchini Canada, Swahili Vision International Association(SVIA) imemtunuku Tuzo ya Heshima msanii Diamond Platnumz kwa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili kimataifa kupitia muziki wake.

(Visited 25 times, 1 visits today)
Share this post