ASSAs

POGBA KUSOTA NJE YA UWANJA MPAKA DISEMBA

930
0
Share:

Kocha mkuu wa Manchester United amethibitisha mchezaji wake Paul Pogba kukaa nje ya uwanja mpaka mwezi Disemba mwaka huu

Pogba aliumia mguu eneo la enka kwenye mechi dhidi ya mwezi uliopita na kumfanya kukaa nje kwenye mchezo na Liverpool ambao Manchester United ilitoka sare ya mabao 1-1. .

Msimu huu Pogba amecheza michezo 5 tu akiwa hajafunga bao lolote. Kocha wa Ole Gunnar amenukuliwa akisema

 “Sidhani kama tutamwona tena uwanjani kabla ya Disemba , atakuwa nje kwa wakati fulani kwani anahitaji muda zaidi ili aweze kupona kabisa. Anaweza kucheza mechi dhidi ya Shiffield United (tarehe 24 Novemba) Baada ya michezo ya timu za taifa . Mimi sio daktari lakini nafahamu eneo aliloumia linahitaji kupona kabisa”

Mchezaji huyo amekuwa akihusiswa kuhamia Real Madrid  na Juventus msimu wa majira baridi. Mchezaji huyo mwenye miaka 26  amecheza michezo 6 tu msimu huu kutokana na majeraha .

(Visited 90 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us