ASSAs

KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI AKUTANA NA MTAALAM MSHAURI KUTOKA CPA MAKAO MAKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

303
0
Share:

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akisalimiana na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akimsikiliza Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon (wa pili kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Katibu Msaidizi wa Bunge, Ndg. Zainab Kihange, Katibu wa Spika wa Bunge, Ndg. Saidi Yakubu na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Kimataifa na Itifaki, Ndg. Daniel Eliufoo

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akiagana na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

(Visited 22 times, 1 visits today)
Share this post