ASSAs

TAARIFA MUHIMU KWA KLABU YA YANGA

1656
0
Share:

Klabu ya Yanga kupitia mwenyekiti wake msola na makamu mwenyekiti mwakalebela wamedhamiria kuleta mageuzi ya kiutendaji.

Ndani ya Klabu hiyo na imetangaza kamati maalum ya kufungua na kuimarisha matawi yake nchi nzima huku pia wanachama wakipata usimamizi zaidi.

Kamati hiyo inajumla ya wajumbe kumi na ndugu Saadi khimji anakuwa mwenyekiti wa kamati hiyo.

(Visited 566 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us