ASSAs

RAIS TRUMP AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA AFGHANISTAN

1676
0
Share:

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amefanya ziara ya kushtukiza katika kambi ya vikosi vya Marekani nchini Afghanistan na kusema kuwa Marekani na Taliban wamekuwa katika mazungumzo.

Wanajeshi 13,000 wa Marekani wamesalia nchini Afghanistan miaka 18 baada ya Marekani kuingilia kati kupambana na wanamgambo wa Taliban baada ya mashambulizi ya Septemba 11 2001.

Hakuna kauli yoyote iliyotolewa na Taliban, na watu wengi awali walikuwa na maswali kuhusu utayari wa kundi hilo kujihusisha na mazungumzo hayo.

(Visited 139 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us