ASSAs

MATUKIO KATIKA PICHA UTAMBULISHO WA VIWANJA VYA MAZOEZI VYA KLABU YA SIMBA BUNJU

657
0
Share:

Kaimu Mwenyekiti wa Simba SC, Mwina Kaduguda akihutubia mamia ya wapenzi wa klabu hiyo waliojitokeza kuonyeshwa viwanja viwili vya mazoezi vya klabu hiyo, wa nyasi bandia na halisi eneo la Bunju mjini Dar es Salaam, zoezi ambalo lilihudhuriwa na wachezaji pia 

Gwiji wa klabu, Abdallah Athumani Seif ‘King Kibadeni’ akihutubia katika sherehe hiyo

(Visited 55 times, 1 visits today)
Share this post