ASSAs

HATMA YA AMBER RUTTY NA MUMEWAKE HII HAPA

2088
0
Share:

Msanii na video vixen Bongo, Rutyfiya Abubakar ‘Amber Rutty’, ametangaza kuwa yupo ‘singo’ na kuibua gumzo mtandaoni, hii ina maana kuwa ameachana na aliyekuwa mpenzi wake aitwaye Said Mtopali.

Kupitia ‘status’ za Mitandao ya Kijamii ya WhatsApp na Instagram ameandika;

“Hongera zao walioolewa jamani duh, kama ndoa zenyewe ndiyo hivi, nimeshindwa, kumbe wanaodanga wanajua wanachokifanya kina maana gani loh, hebu nipumue zangu na mimi nipate danga jipya mjini, Mungu atanionesha njia sahihi Inshalaah!”

Wawili hao walikuwa kwenye ndoa kwa mwaka mmoja na walianza uhusiano wao miaka sita iliyopita.

(Visited 425 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us