ASSAs

KLABU YA YANGA YAPATA PIGO JINGINE

597
0
Share:

Klabu ya Yanga imepata pigo jigine baada ya kuondokewa na mwaachama wake Ibrahim Akilimali maarufu kama mzee Akilimali.  Mzee Akilimali amesumbuliwa na maradhi kwa 
muda mrefu mpaka kufikwa na umauti. Mzee Akilimali aliwahi kuwa katibu wa baraza la wazee Yanga n atakumbukwa kwa misimamo yake.

Tokeo la picha la Ibrahim Akilimali maarufu kama mzee Akilimali.

Akilimali amefariki nyumbani kwake Bagamoyo na atasafirishwa kurudishwa makazi yake ya Tandale Dar es salaam.Mazishi yatafanyika kesho saa 10:00 jioni . Lemutuz Blog inatoa pole kwa Wanayanga na familia nzima ya Mzee Akilimali.
Mzee Akilimali atakumbukwa kwa kauli zifuatazo

(Visited 129 times, 1 visits today)
Share this post