ASSAs

PICHA ZA NANDY NA OMMY DIMPOZ ZAZUA GUMZO MTANDAONI

3362
0
Share:

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz,   ameweka picha zenye utata kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na msanii mwenzake wa muziki wa Bongo Fleva mwanadada Nandy wakiwa katika mapozi ya kimahaba huku zikisindikizwa na maneno ya Happy New Year.

Akizungumzia picha hizo, Dimpoz amesema picha hizo si za mapenzi bali walikuwa kazini nchini Mombasa, Kenya, kwenye ‘scene’ ya video yake mpya.

(Visited 1,951 times, 1 visits today)
Share this post