ASSAs

MANARA AMRUDIA MOLA WAKE, AFUNGUKA HAYA

686
0
Share:

Ofisa habari wa timu ya simba Haji Manara baada ya kimya cha muda mrefu baada ya matokeo ya jana dhidi ya mtibwa na kujiengua kwa mwenyekiti wao Mo Dewji hatimaye sasa ametoa kauli yake ya kwanza kwa kumrudia mungu wake.

Kupitia Instagram yake ameandika hivi Manara ameandika hivi;

”Ewe Mola tukinge na mabaya na utupe nguvu ya kufanya mazuri ili mazuri yaturudiye na utusameh pale mabaya tuliyafanya yasiturudiye.

Ewe mola, sisi tunakuomba wewe utuwekee furaha na tuwe tumeridhika na yale wewe uliyotujaliyah maishani mwetu na katika bahati yetu (kwa ajili yetu)

Ewe mola wewe ni mwepesi sana wa kubariki na kurehemu, msamehe yule ambaye hana chochote ila ni ibada na sala zako tu ”

(Visited 325 times, 1 visits today)
Share this post