ASSAs

UTARATIBU WA KUTOA MCHANGO KWAAJILI YA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI DEOGRATIUS DAVID

1252
0
Share:

Mwili wa Mwandishi wa habari Deogratius David leo Januari 28, unatarajiwa kusafirishwa kupelekwa kwao Sumbawanga.

Gharama za kusafirisha ambazo zinahitajika ni kiasi cha Sh. Mil 3 Kwa chochote utakachoguswa tuma kwenye namba 0767 047070 Jina litatokea (ONE TIME LIMITED)

 Douglas David, alikutwa amefariki dunia chumbani kwake eneo la Vingunguti Mji Mpya, jijini Dar es Salaam, huku mwili wake ukiwa umeharibika vibaya Jumatatu Januari 27, 2020.

Inaelezwa kuwa Douglas aligunduliwa na majirani zake baada ya kuhisi harufu kali kutoka chumbani kwake, ndipo wakafanya utaratibu wa kufungua mlango kwa kushirikiana na viongozi wa serikali ya mtaa chini ya usimamizi wa polisi kituo cha Buguruni.

Mashuhuda wanasema walipofungua mlango waliona mwili wa marehemu ukiwa umelala kitandani kwa takribani siku tano.

(Visited 196 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us