ASSAs

HAMISA AFUNGUKA TETESI ZA KURUDIANA NA DIAMOND

819
0
Share:

Mwanamitindo na msanii kutoka katika kiwanda cha Bongo flavour nchini Tanzania Hamisa Mobetto amefunguka juu ya tetesi zinanzomuhususha na suala la kurudiana na mzazi mwenzie Diamond Platnumz.

Hamisa Mobetto amesema ” Watu wanasema nimerudiana na Diamond, lakini si ukweli yaani ni uongo na ni chonganishi…Mimi sipendi tabia ya watu kuzusha vitu ambavyo havina ukweli…tuwe tunafikiria vya kuzusha” Hamissa

(Visited 158 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us