ASSAs

MARAIS WASTAAFU WA TANZANIA WAMEWASILI NCHINI KENYA KWAAJILI YA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA KENYA HAYATI DANIEL ARAP MOI

1306
0
Share:

Baadhi ya askari wakiusindikiza mwili wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi katika maombolezo ya msiba huo nchini Kenya.

Moja ya bango lililopo barabarani likiashiria maombolezo ya msiba wa Rasi Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi

Msafara wa magari likiwemo gari lililobeba mwili wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi katika maombolezi ya msiba huo nchini Kenya

Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe.Benjamin Mkapa akisaini Kitabu cha maombolezo katika msiba wa Rais mstaafu wa Kenya, hayati Daniel Arap Moi.

Marais wastaafu wa Tanzania wakiwasili katika uwanja wa ndege nchi Kenya kwaajili ya Maombolezo msiba wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi

(Visited 210 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us