ASSAs

MTUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA AKAMATWA

1105
0
Share:

Hamad Mbaraka (32) mkazi wa Barabara ya 19 Ngamiani Kusini amekamatwa na Maafisa wa Mamlaka ya Kuthibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya Jijini Tanga akiwa na mfuko mmoja, pakiti ndogo 3, Kete moja yenye unga unaodhaniwa kuwa ni Dawa za kulevya.
Mtuhumiwa yuko mahabusu Chumbageni

(Visited 146 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us