ASSAs

KAULI YA WAZIRI MKUU MSIBANI KWA KAKA WA BOSS TFF

907
0
Share:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 22, 2020 ametoa salamu za pole kwa kwa kutia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mathew Champanda, ambaye ni kaka mkubwa wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred 

Waziri Mkuu Majaliwa amefika kutoa salamu hizo za pole nyumbani kwa marehemu huyo  Mwanga mjini Kigoma, mahali ambapo kaka wa Katibu huyo wa TFF atazikwa.

Waziri Mkuu amewataka ndugu wa kuwa wavumilivu kwenye kipindi hiki kigumu ambacho wamempoteza ndugu yao.

(Visited 119 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us