ASSAs

TANZIA: MSANII WA BONGO MOVIES BAKI BOBAN AFARIKI DUNIA

1099
0
Share:

Msanii wa bongo movie Baki Boban amefariki dunia leo tarehe 10-3-2020.

Baki Boban anatarajiwa kuzikwa leo kwenye makaburi ya kisutu jijini Dar es Salaam.

Rafiki yake wa karibu ambaye ni msanii mwenzake Dude ameonyesha kusikitishwa na kifo cha rafiki yake wa karibu na kuandika hivi;

AMEFARIKI!, AMEFARIKI MSHKAJI WANGU, BAKI BOBAN …maumivu niliyonayo hayasemeki, kaniachia Bongo dsm yangu, umeuona mpira wa Yanga Dude?, Ni maneno ya mwisho kuyasikia kutoka kinywani kwake swahiba, NENDA MSHKAJI nenda Baki Bobon umemaliza muda wako,
Anazikwa leo leo makaburi ya kisutu kuanzia saa 7 , msiba upo msikiti wa MAAMUR UPANGA,
Twendeni tukamzike BAKI BOBAN

(Visited 499 times, 1 visits today)
Share this post